.. Naitwa Mr Godfrey Mmari .…naishi Njilo Arusha!
Miaka miwili nyuma nilikuwa napenda kununua viatu sehemu yoyote ile
Bila kujali ubora
Sikuwahi kufikiria viatu vinaweza kuleta mgogoro wa kimya mtaani.
Nikasema nijaribu kubadilisha..
Nikaamua kuagiza pair 3 kwenye page moja iliyoandikwa chilu store.
Moka ya kazini, raba ya kuvaa weekend na raba ya kwendea gym
Nilivyovivaa mara ya kwanza…
Niliona macho ya watu yakinifuata..
Hasa nilipokuwa natoka nyumbani kwenda kazini..
Hata kwenda Gym…
Sio tu vilivyokaa kisomi,
BALI NI:
NA:
Vimebuniwa kwa ladha ya mwanaume wa hadhi ya juu…
Anaejitambua…
Mwenye maono na malengo makubwa..
Mwenye misimamo..
Kilichonishangaza ni jinsi wake wa wapangaji wenzangu walivyoanza kuulizia:
“Mbona viatu vya yule kaka
“Vinaonekana classy sana?”
“Anaagizia wapi?”
“Hivi vya kwake havichakai kweli?”
UNAJUA NI KWANINI?.
Majirani zangu wa kiume….ambao tulikuwa tunasalimiana kila siku;
Wakaanza kunipotezea..
Hakuna tena salamu za kawaida..
Hakuna tena stori za jioni.
Hawakusema kwa maneno lakini nilijua
KWASABABU..
Viatu hivi vilikuwa vinaongea zaidi ya maneno.
Unajua kwanini nimekusimulia yote haya?..
Ni story aliyonipa Mr Simon Jumapili ya week iliyopita
Kwakweli ilinishangaza sana….
Mimi sikuwa hata namkumbuka
Mpaka sasa tumeshawasaidia zaidi ya Watanzia 700 kupitia marafiki na watu waliouliza “wamenunua wapi”
Na wewe pia unaweza kumiliki pair yako leo.
Ukishabonyeza utaweza kuona aina mbalimabli za viatu kutoka Vietnam na utaweza kufanya malipo baada ya kupokea mzigo wako popote ulipo nchini Tanzania